22.11.13

Tuesday, January 15, 2013

JUMAPILI HII SHOW YANGU ITAKUWA YAKITOFAUTI SANA "MABESTE"

Msanii Mabeste kutoka Bhitz Music Group siku ya jumapili pale New Maisha Club amesema atafanya show moja tofauti hivi kwasababu mwaka ndio kwanza mchanga so mashabiki wake waje wengi ili wapate ladha tofauti hivi. Katika show hiyo atasindikizwa na washkaji zake kutoka Bhitz (BMG) pamoja na Shetta, Hemedy na Joh Makini.

SIKILIZA JINGO YA SHOW YENYEWE HAPA CHINI

TEAM BHITZ MUSIC GROUP 

1 comment:

Unknown said...

Tishaaaaaaa Team B`Hits